Menu

Adhkaar (Dua)


KINGA YA MUISLAMU


 USIKU


[سَمعَ سَامعً بحمد الله وحُسنِ بلائه علينا، ربنا صاحبنا ، وأفضِل علينا عائذا بالله من النار]

 مسلم4/ 2086

[Amesikia msikilizaji kusifiwa kwa Mwenyezi Mungu, na uzuri wa neema zake juu yetu.  Mola wetu kuwa nasi na tufadhilishe hali ya kuwa tunajilinda na Mwenyezi Mungu  kutokana na moto.]    [Imepokewa na Muslim.]


DUA YA MSAFIRI UNAPOINGIA USIKU


 



KINGA YA MUISLAMU


 KUPANDA11


 

Imepokelewa kutoka kwa Jaabir amesema:  "Tulikuwa tukipanda mlima tunasema:

[اللهُ أَكْـبَر]

[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]

Na tukishuka  tunasema:

[سُبْـحانَ الله]

Ametakasika Mwenyezi Mungu

[imepokewa na Bukhari]


SIKILIZA DUA HII


 



KINGA YA MUISLAMU


 DUA YA MSAFIRI


 

[ أستودعُكَ الله الذي لا تضيع ودائعه ]

أحمد 2/403 وابن ماجه 2/943

 

[Nawaacha katika amana ya Mwenyezi Mungu ambaye hakupotei amana kwake.]     [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Maajah.]


DUA YA ANAESAFIRI KUWAOMBEA WAKAAZI


 



KINGA YA MUISLAMU


 SAFAR


 

[ أستودع الله دينك وأمانتك ،وخواتيم عملك ]

 أحمد 2/7 الترمذي5/499

[Naweka amana kwa Mwenyezi Mungu  dini yako na uaminifu wako na mwisho wa matendo yako.]     [Imepokewa na Ahmad na Al-Ttirmidhiy.]

 

[ زوَّدك الله التقوى، وغفر ذْنبك ويسَّر لك الخير حيث ما كنت ]

الترمذي وانظر صحيح الترمذي3/ 155

[Mwenyezi Mungu akuzidishie ucha mungu, na akusamehe madhambi yako, na akufanyie wepesi katika kheri popote ulipo.]      [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]


DUA YA WAKAAZI WANAYOMUOMBEA ANAE SAFIRI


 



KINGA YA MUISLAMU


 FARASI


 [ بسم الله ]

 أبو داود 4/296 وصححه الألباني

 

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu]      [Imepokewa na Abuu Daud,na kusahihishwa na Al-Baaniy.]


DUA YA WAKATI MNYAMA ALIEMPANDA AKILETA TABU


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575426
TodayToday133
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 23

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68297cca59c7811698938141747549386
title_68297cca59d607211177171747549386
title_68297cca59e526433569381747549386

NISHATI ZA OFISI

title_68297cca5b40f19305692551747549386
title_68297cca5b4f15990564861747549386
title_68297cca5b5df1639903891747549386 Add content here

HUDUMA MPYA

: 9 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com