ANACHOSEMA WAKATI WA KUSTAAJABU NA WA FURAHA
[ سبحان الله ]
البخاري مع الفتح 1/210 و390 و414 ومسلم 4/ 1857
[Ametakasika Mwenyezi Mungu] [Imeokewa na Bukhari na Muslim.]
[ الله أكبر ]
البخاري الفتح8/ 441 ومسند أحمد 5/ 218
[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa] [Imepokewa na Bukhari na Ahmad.]
ANACHOSEMA WAKATI WA KUSTAAJABU NA WA FURAHA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.