Menu

 

ANAPORUSHA KILA KIJIWE KATIKA JAMARAH (NGUZO)

 

Alikuwa Mtume kila anaporusha kijiwe katika Jamarah (nguzo) tatu akisema

[أَللّهُ أَكْبَرُ]

[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]

….. anapomaliza kurusha vijiwe saba katika Jamarah (nguzo) ya kwanza, alikuwa anasogea mbele kidogo, anasimama kuelekea Qibla hali yakuwa ameiinuwa mikono yake, kisha anaanza kumuomba Mwenyezi Mungu. Alikuwa akifanya hivi katika Jamaaraha ya kwanza na ya pili pekee, ama ya tatu alikuwa hasimami bali akimaliza anaondoka.      [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6576069
TodayToday776
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 5

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682a76b50d3362683839461747613365
title_682a76b50d4972462095381747613365
title_682a76b50d5ed17498813091747613365

NISHATI ZA OFISI

title_682a76b50f8847352604811747613365
title_682a76b50f9cc8155077091747613365
title_682a76b50fb186134837521747613365 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com