ANACHOFANYA AKIPATA HABARI YA KUFURAHISHA
[ كان النبي صلى الله عليه وسلم إذا أتاه أمر يسرهُ أو يسرُّ به خر ساجداً شكراً لله تبارك وتعالى ]
رواه أهل السنن إلا النسائي
[Alikuwa Mtume ﷺ ikimjia habari ya kufurahisha husujudu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetukuka.] [Imepokewa na wapokezi wa hadithi ila Al-Nnasai]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.