Menu

SOMO LA FIQHI


somo lafiqhi


KITATANi kile kinachofungwa mahali palipovunjika kiwe ni tambara zito au vipande vya mti au mfano wake

BENDEJI Ni kitu kinachotatiwa kwenye jaraha au mahali palipochomeka au kinginecho kwa kitambaa au mfano wake ili kujitibu nacho.

PLASTA Ni kile kinachobandikwa kwenye jaraha na mfano wake kwa kujitibu.

 

DALILI YA KUSIHI KUPANGUSA JUU YA KITATA

Amepokewa kutoka kwa Jabir Radhi za Allah ziwe juu yake alisema:

 

خَرَجْنَا فِي سَفَرٍ فَأَصَابَ رَجُلًا مِنَّا حَجَرٌ فَشَجَّهُ فِي رَأْسِهِ ثُمَّ احْتَلَمَ فَسَأَلَ أَصْحَابَهُ فَقَالَ هَلْ تَجِدُونَ لِي رُخْصَةً فِي التَّيَمُّمِ فَقَالُوا مَا نَجِدُ لَكَ رُخْصَةً وَأَنْتَ تَقْدِرُ عَلَى الْمَاءِ فَاغْتَسَلَ فَمَاتَ فَلَمَّا قَدِمْنَا عَلَى النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أُخْبِرَ بِذَلِكَ فَقَالَ قَتَلُوهُ قَتَلَهُمْ اللَّهُ أَلَا سَأَلُوا إِذْ لَمْ يَعْلَمُوا فَإِنَّمَا شِفَاءُ الْعِيِّ السُّؤَالُ إِنَّمَا كَانَ يَكْفِيهِ أَنْ يَتَيَمَّمَ وَيَعْصِرَ أَوْ يَعْصِبَ عَلَى جُرْحِهِ خِرْقَةً ثُمَّ يَمْسَحَ عَلَيْهَا وَيَغْسِلَ سَائِرَ جَسَدِهِ     رواه أبوداود

 

[Tulitoka kwenda safari, na mmoja wetu akagongwa na jiwe kichwani mwake likampasua. Kisha akaota (kuwa amelela na mwanamke). Akawauliza wenzake: “Je mnanipatia ruhusa yoyote kisheria ya mimi kutayamam?” Wakasema “Hatukupatii madamu wewe unaweza kutumia maji”. Akaoga na akafa. Tiliporudi kwa Mtume ﷺ alielezwa habari hiyo akasema: [Wamemuua! Mwenyezi Mungu Awaue. Si wangeuliza ikiwa hawajui? Kwani dawa ya kutojua ni kuuliza.” Hakika ingalimtosha yeye kutayamamu na kufunga kitamba kwenye jaraha lake, kisha akapukusa juu yake, na kuosha sehemu zisaliezo za mwili wake]      [Imepokewa na Abu Daud.].


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575110
TodayToday3177
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 9

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68292eacd3e0f3800299341747529388
title_68292eacd3f6e7411854271747529388
title_68292eacd410116770196831747529388

NISHATI ZA OFISI

title_68292eacd62bc9194100731747529388
title_68292eacd641115363953591747529388
title_68292eacd65559595469331747529388 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com