Menu

SOMO LA FIQHI


somo lafiqhi


1. YANAPOKOSEKANA MAJI

Kwa neno lake Mwenyezi Mungu aliyetukuka:

 

فَلَمْ تَجِدُوا مَاءً فَتَيَمَّمُوا}     المائدة:6}

 

[Na mkitopata maji tayamamuni]   [5: 6].

Na mtu haambiwi kuwa amekosa maji iwapo hakuyatafuta.

2. KUSHINDWA KUYATUMIA MAJI
Kama mgonjwa au mkongwe asiyeweza kutembea, na akawa hana wa kumsaidia kutawadha.

3. WAKATI WA KUCHELEA MADHARA KWA KUTUMIA MAJI
Miongoni mwa hayo:

a) Mgonjwa ambaye angeyatumia maji ugonjwa wake utazidi.

b) Mtu aliye mahali penye baridi kali na asiwe na kitu cha kupasha maji moto na akawa na yakini lau ataoga atapatikana na ugonjwa.

Hii ni kwa hadithi iliyothubutu kuwa Mtume   alimkubalia ‘Amr bin al-’Asw alipowaswalisha wenzake hali akiwa ametayamamu kwa sababu ya baridi kali   [Imepokewa na Abu Daud.].

c) Awapo mahali mbali na hana maji isipokuwa kidogo ambayo anayahitajia kwa kunywa na hawezi kuleta mengine.


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575002
TodayToday3069
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 104

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682920522ecbf3412448801747525714
title_682920522ee042480342491747525714
title_682920522ef4012374600931747525714

NISHATI ZA OFISI

title_6829205230f7e10037581331747525714
title_68292052310a911315027741747525714
title_68292052311cf3535101861747525714 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com