Menu

SOMO LA FIQHI


somo lafiqhi


NAMNA YA KUTAYAMAMU.

1. Aupige mchanga kwa mikono yake pigo moja.

2. Kisha aipulize kupunguza vumbi.

3. Kisha apanguse uso wake kwa hiyo mikono mara moja.

4. Kisha apanguse upande wa nje wa wa vitanga vya mikono. Apanguse sehemu ya nje ya kitanga cha mkono wa kulia kwa sehemu ya ndani ya kitanga cha mkono wa kushoto, kisha nje ya kitanga cha mkono wa kushoto kwa sehemu ya

Na dalili ya namna ya kutayamamu ni hadithi ya Ammar Radhi za Allah ziwe juu yake

 

أن النَّبِيَّ ﷺ ضَرَبَ بِكَفَّيْهِ الْأَرْضَ، وَنَفَخَ فِيهِمَا، ثُمَّ مَسَحَ بِهِمَا وَجْهَهُ وَكَفَّيْهِ]     متفق عليه]

 

[Kwamba Mtume ﷺ alipiga ardhi kwa vitanga vyake viwili vya mkono, akavipuliza kisha akapangusa uso wake na vitanga vyake kwavyo]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim.].

FARADHI ZA KUTAYAMAMU.

1. Kutia nia.

2. Kupangusa uso.

3. Kupangusa vitanga vya mikono.

4. Kufuatanisha: aanze kupangusa uso kisha vitanga viwili vya mikono.

5. Kufuliliza: Apanguse mikono miwili baada ya kupangusa uso papo kwa papo.


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575050
TodayToday3117
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 18

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682923fb131cb18966383611747526651
title_682923fb1332c891753561747526651
title_682923fb1347618078294381747526651

NISHATI ZA OFISI

title_682923fb156ff11800875451747526651
title_682923fb1584d704645831747526651
title_682923fb159927282378861747526651 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 13 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com