Menu

الحديث الثاني والثلاثون


Annawawiy1


"لا ضرر ولا ضرار"

"عَنْ أَبِي سَعِيدٍ سَعْدِ بْنِ مَالِكِ بْنِ سِنَانٍ الْخُدْرِيّ أن رسول الله صلى الله عليه وسلم "لاضرر ولا ضرار

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ ابْنُ مَاجَهْ  وَالدَّارَقُطْنِيّ ، وَغَيْرُهُمَا مُسْنَدًا. وَرَوَاهُ مَالِكٌ  فِي "الْمُوَطَّإِ" عَنْ عَمْرِو بْنِ يَحْيَى عَنْ أَبِيهِ عَنْ النَّبِيِّ فَأَسْقَطَ أَبَا سَعِيدٍ، وَلَهُ طُرُقٌ يُقَوِّي بَعْضُهَا بَعْضًا


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



 HADITHI YA 32


HAKUNA KUDHURIANA WALA KULIPA MADHARA


Kutoka kwa Abuu Sa’iyd Sa’d bin Maalik bin Sinaan Alkhudriyy Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ na amesema: [Hakuna kudhuriana wala kulipiza madhara.]

[Imesimuliwa na Ibn Maajah, Ad-Daaraqutwniy na wengineo na ina kiwango cha 'Musnad'. Vile vile imepokelewa na Maalik katika Al-Muwatwaa kama 'Mursal'. Inayo mtiririko wa mapokezi kutoka kwa 'Amr bin Yahyaa, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hata ukimuacha Abuu Sa'iyd bado inayo mtiririko wa mapokezi unayoiunga mkono.]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6575152
TodayToday3219
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 8

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682935c1d7b7e18502888901747531201
title_682935c1d805119657883521747531201
title_682935c1ec2ee10721630791747531201

NISHATI ZA OFISI

title_682935c21138d11809053801747531202
title_682935c211eb011035754031747531202
title_682935c212004273017741747531202 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com