Menu

KINGA YA MUISLAMU


02 06 014


 التحيات لله ، والصلوات ، والطيبات ، السلام عليك أيها النبي ورحمة الله وبركاته ، السلام علينا وعلى عباد الله الصالحين ،أشهد أن لا إله إلا الله ، وأشهد أن محمداً عبده ورسوله        البخاري مع الفتح 1/13 ومسلم 1/ 301

 

[Maamkuzi mema, na rehema na mazuri yote, ni kwa Mwenyezi Mungu, amani zishuke juu yako Ewe Mtume na rehema za Mwenyezi Mungu na baraka zake, amani ishuke juu yetu, na juu ya waja wa Mwenyezi Mungu  walio wema, nakiri kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwahaki ila ni Mwenyezi Mungu  na ninakiri kwamba Muhammad ni mja wake na ni Mtume wake.]    [Imepokewa na Bukhari.]


SIKILIZA DUA YA TASHAHHUD


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6577190
TodayToday75
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 17

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682c07158a82255084781747715861
title_682c07158a91b7481237771747715861
title_682c07158aa0316342504921747715861

NISHATI ZA OFISI

title_682c07158c09216863952211747715861
title_682c07158c1795417611341747715861
title_682c07158c2566509553061747715861 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com