Menu

KINGA YA MUISLAMU


 655394


Mtu akisikia Muadhini anaadhini anatakiwa asema kama anavyosema Muadhini, ila atakapo sema:

 

"حي على الصلاة ، وحي على الفلاح"

"Hayya ala Swalaah,Hayya alal falaah"

[Njooni kwenye swala,Njoni kwenye mafanikio.]

Yeye hatomuigiza bali anatakiwa aseme:

 

"لا حول ولا قوة إلا بالله"

Laa Haula walaa quwwata Illaa Billah

[Hapana uwezo wala nguvu ila za Mwenyezi Mungu.]        [Imepokewa na Bukhari].

Anatikiwa mtu aseme:

 

"وأنا أشهد أن لا إله إلا الله ، وحده لا شريك له ، وأن محمد عبده ورسوله ، رضيت بالله رباً ، وبمحمداً رسولاً وبالإسلام ديناً"

 

[Na mimi pia nakiri kwa moyo na kusema kwa ulimi kwamba hapana Mola apasae kuabudiwa  kwa haki, ila Allaah Mmoja Peke Yake, hana mshirika wake na kwamba Muhammad ni mja Wake, na ni Mtume Wake.  Nimeridhika kuwa Mwenyezi Mungu  ndie Mola wangu, na kuwa Muhammad ni Mtume wangu, na kuwa Uislamu ndio dini yangu.]       [Imepokewa na Muslim.]

[Atasema hivyo baada ya shahada ya Muadhini pale atakaposema Ash'hadu anlaa ilaha illa llah,wa Ash'hadu anna Muhammad Rasuulu llah.]

Kisha baada ya kumjibu Muadhini atamswalia Mtume 

Kisha atasema:

 

[اللهم رب هذه الدعوة التامة ،والصلاة القائمة، آت محمداً الوسيلة والفضيلة، وأبعثه مقاماً محموداً الذي وعدته، [ إنك لا تخلف الميعاد"

 

[Ewe Mwenyezi Mungu , Bwana wa mlingano (mwito) huu uliotimia, na swala ilio simama, mpe Mtume Muhammad  ﷺ  Wasila, na fadhila, na mfikishe daraja yenye kusifiwa, ambayo umemuahidi.]         (kwani wewe hukhalifu ahadi)      [Imepokewa na Bukhari na ilioko kwe mabano imepokewa na Al-Bayhaqi na Isnadi yake ni Mzuri kama alivyo sema Ibnu Baaz katika kitabu Tuhfatul Akhyaar.]


SIKILIZA DUA ZA ADHANA


  


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575907
TodayToday614
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 7

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682a2ddb86fe520760688221747594715
title_682a2ddb8714b19333100911747594715
title_682a2ddb8729b5364915431747594715

NISHATI ZA OFISI

title_682a2ddb895335528093011747594715
title_682a2ddb8967216452540341747594715
title_682a2ddb8977b16233820791747594715 Add content here

HUDUMA MPYA

: 4 + 2 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com