Menu

KINGA YA MUISLAMU


 Dua ya kutoka msikitini


 

[ بسم الله والصلاة والسلام على رسول الله ،اللهم إني أسألك من فضلك، اللهم اعصمني من الشيطان الرجيم ]    

 أخرجه إبن ماجة

[Kwa Jina la Mwenyezi Mungu  na rehema na amani zimfikie  Mtume wa  Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi nakuomba katika fadhila Zako, Ewe Mwenyezi Mungu najilinda kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma Zako (aliyelaaniwa ). ]      [Imepokewa na Ibnu Maajah.] 


SIKILIZA DUA YA KUTOKA MSIKITINI


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575804
TodayToday511
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 4

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682a06cf762de781295061747584719
title_682a06cf763d98214802371747584719
title_682a06cf764c312020564221747584719

NISHATI ZA OFISI

title_682a06cf77bc42630559691747584719
title_682a06cf77ca49031875391747584719
title_682a06cf77d7e15135347931747584719 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com