KINGA YA MUISLAMU
[غُفْرانَكَ]
أخرجه أصحاب السنن إلا النسائي أخرجه في عمل اليوم والليلة انظر تخريج زاد المعاد 2/ 387
[Nakuomba msamaha (Ewe Mwenyezi Mungu)] [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy]
SIKILIZA DUA YAKUTOKA CHOONI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.