KINGA YA MUISLAMU
[بسم الله ، اللهُمَّ إنّي أعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبْثِ والخبائِثِ]
أخرجه البخاري 1/ 45 ومسلم 1/283 وزيادة بسم الله في أوله متفق عليه، أخرجها سعيد بن منصور أنظر فتح الباري 1/244
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu ) Ewe Mwenyezi Mungu najilinda kwako kutokana na mashetani ya kiume na ya kike.] [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]
SIKILIZA DUA YA KUINGIA CHOONI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.