Menu

 

JE INAFAA KWA MWANAMKE KUKIHAMA KITANDA CHA MUMEWE IKIWA MUME UKO NA UGONJWA?

 

Suali: Je inafaa kwa Mwanamke kukihama kitanda cha mumewe ikiwa Mume uko na ugonjwa?

Jawabu: Niwajibu kwa mwanamke kumtii mumewe na kumtekelezea haja zake zote anazo hitajia, ikiwemo haki ya kulala nayeye, na haifai kwa mwanamke kukihama kitanda cha mumewe asipokuwa na udhuru wa kisheria,amepokea Abuu Hurayrah radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume amesema:

 

إذا دعا الرجل امرأته إلى فراشه فأبت أن تجيء لعنتها الملائكة حتى تصبح.]     متفق عليه]

 

[Mume atakapo mwita mkewe katika kitanda chake,(mwanamke) akakataa kumjilia, basi hulaniwa na Malaika mpaka ipamzuke]   [Imepokelewa na Bukharin a Muslim]

Lakini ikiwa mwanamume amepatikana na ugonjwa wakuambukiza,na mke akakhofia kuambukizwa na ugonjwa ule,au akawa mume anajambo la kukirihisha lisilo wezekana kwa mtu kustahimili, basi anapo kataa kumuitikie mumewe hahisabiwi kuwa ameasi,na kwa hali hii mwanamke anakuwa na khiyari baina ya kutaka talaka, au kumsubiria mumewe,ama ikiwa ugonjwa si wakuambukiza wala siudhia ambao hausthimiliki basi mwanamke anakuwa hana udhuru wakukata kumuitikia mumewe anapo mtaka kulala na yeye ,na akikataa huhisabiwa kuwa ameasi, na mume atakuwa na haki kumyima haki zake nyingine kama chakula na mavazi na malazi na mengineo.

Na Allah ndie mjuzi Zaidi.


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575447
TodayToday154
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 12

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6829808923eef5489247051747550345
title_6829808923fe112466859661747550345
title_68298089240cc19767759651747550345

NISHATI ZA OFISI

title_6829808925b9c6156373631747550345
title_6829808925c825982262821747550345
title_682980893a60013543718211747550345 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com