Menu

KUFARIKI KWA MAMA YAKE MWENYE HURUMA SANA


 2310829 max


Baada ya tukio hili, Halima alipata hofu juu ya maisha ya Mtume na akaamua kumrudisha kwa mama yake. Akawa chini ya uangalizi wa mama yake mpaka alipofikisha umri wa miaka sita

Katika kuadhimisha kumbukumbu ya mume wake aliyekufa Bi Amina aliamua kuzuru kaburi lake huko Yathrib, umbali wake unafikia kilometa mia tano.Akatoka Makka akiwa pamoja na mtoto wake yatima - Muhammad - na mtumishi wake Ummu Ayman, na msimamizi wake Abdul Muttwalib. Akakaa huko kwa muda wa mwezi mmoja kisha akaamua kurejea. Wakati wakiwa njiani kurejea Makka ghafla alipatwa na maradhi, maradhi yakamzidi na akafariki dunia huko Abwaa, kati ya Makka na Madina.*


* Arraheeq Al Makhtuum 85


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575466
TodayToday173
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 7

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6829845b738616919210371747551323
title_6829845b739438205654241747551323
title_6829845b73a1d18372930121747551323

NISHATI ZA OFISI

title_6829845b74fa39896062561747551323
title_6829845b7507e21317724771747551323
title_6829845b7515712420409271747551323 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com