NI HARAMU KUTUMIA MAJI YALIOSOMEWA KUJITWAHIRISHA ?


Swali: Je yafaa kutumia maji yaliosomewa na maji ya kawaida katika kujitwahirisha?

Jawabu: Hakuna ubaya wa kutumia maji yalio changanywa katika kujitwahrisha au kutumia sampuli yoyte ile,si dhambi wala mtu hadhuriki kama watu wengi wanavyo dhania.

Na Allah ndie mjuzi zaidi


Chanzo: Islamweb.com


comments