Menu

الحديث السابع والعشرون


Annawawiy1


"البر حسن الخلق"
عن النّوَّاسِ بْنِ سَمْعَانَ رضيَ اللهُ عَنْهُ عن النَّبي صلى الله عليه وسلم قَالَ: [ الْبِرُّ حُسْنُ الْخُلُقِ، وَالإِثْمُ مَا حاكَ في نَفْسِكَ وَكَرِهْتَ أَنْ يَطَّلِعَ عَلَيْهِ النَّاسُ
رَوَاهُ مُسْلِمٌ
وعن وَابصَةَ بْنِ مَعْبَدٍ رضي اللهُ عَنْهُ قالَ: قالَ رَسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم [جِئْتَ تَسأَلُ عَنِ الْبِرِّ؟] . قُلْتُ: نَعَمْ. قَالَ: [اسْتَفْتِ قَلْبَكَ، الْبِرُّ مَا اطْمَأَنَّتْ إلَيْهِ النَّفْسُ وَاطْمَأَنَّ إلَيْهِ الْقَلْبُ، وَالإِثْمُ مَا حاكَ في النَّفْسِ وَتَردَّدَ في الصَّدْرِ وَإنْ أَفْتَاكَ النّاسُ وَأَفْتَوْكَ

حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَيْنَاهُ في مُسْنَدَي الْإِمَامَيْنِ أَحْمَدَ بْنِ حَنْبَلٍ وَالدَّارِمِيّ بِإِسْنَادٍ حَسَنٍ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA  27


WEMA NI TABIA NZURI


Kutoka kwa An-Nawwaas Ibn Sam'aan Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema kuwa Mtume ﷺ kasema:

[Wema ni tabia nzuri na udhalimu ni kile kitu ambacho huyumbayumba (chenye mashaka) katika nafsi yako na hupendelei watu kukitambua.] 
[Imepokelewa na Muslim]
Na kutoka kwa Waabisah Ibn Ma'abad Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema:
Nilikuja kwa Mtume  naye akasema:
[Umekuja kuuliza juu wema ?]  Nikasema: Ndio . Akasema: [Ushaurishe moyo wako. Wema ni kile ambacho nafsi yako inakihisi shwari na moyo wako pia unahisi shwari, na udhalimu ni kile kinachoyumbayumba katika nafsi na kwenda na kurudi kifuani ijapokuwa watu wamekupa shauri lao la kisheria (kukipendelea).]

[Ni Hadithi hasan imepokelewa katika Musnad mbili ya Imam Ahmad na Al-Ddaarimiy]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6575142
TodayToday3209
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 6

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682932331cce03025739241747530291
title_682932331cdc916520682031747530291
title_682932331ceb415912998501747530291

NISHATI ZA OFISI

title_682932331e4b76737236871747530291
title_682932331e59520598263671747530291
title_682932331e67c19928539461747530291 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com