Menu

الحديث الخامس والعشرون


Annawawiy1


“ذهب أهل الدثور بالأجور “

عن أبي ذَرٍّ رضي اللهُ عنه: أَنَّ ناساً من أَصْحابِ رسول الله صلى الله عليه وسلم، قالوا لِلنَّبيِّ صلى الله عليه وسلم: يا رسولَ اللهِ، ذَهَب أَهْلُ الدُّثورِ بالأُجورِ، يُصَلُّونَ كما نُصَلِّي، ويَصُومُونَ كما نَصُومُ، وَيَتَصَدَّقُونَ بِفُضُولِ أَمْوَالِهِمْ. قَالَ: [أوَ لَيْسَ قَدْ جَعَلَ اللهُ لَكُمْ مَا تَصَدَّقُونَ ؟ إنَّ بكلِّ تَسْبيحَةٍ صَدَقَةً، وكُلِّ تَكْبِيرَةٍ صَدَقَةً، وكُلِّ تَحْمِيدَةٍ صَدَقَةً، وَكُلِّ تَهْلِيلَةٍ صَدَقَةً، وَأَمْرٍ بِالْمَعرُوفِ صَدَقَةً، وَنَهْيٍ عَنْ مُنْكَرٍ صَدَقَةً، وفي بُضْعِ أحَدِكُمْ صَدَقَةً]. قَالُوا: يَا رَسُولَ اللهِ، أَيَأْتي أحَدُنَا شَهْوَتَهُ وَيَكُونُ لَهُ فِيهَا أجرٌ ؟ قَالَ

[أَرَأَيْتُمْ لَوْ وَضَعَها في حَرَامٍ، أَكَانَ عَليْهِ وزْرٌ ؟ فَكَذلِكَ إذَا وَضَعَها في الْحَلاَلِ كانَ لَهُ أَجْرٌ]

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 25


WENYE MALI WAMEONDOKA NA FUNGU KUBWA


Kutoka kwa Abu Dharr Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema:

Baadhi ya Maswahaba wa Mtume  walimuambia Mtume  : [Ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu, wenye mali wameondoka na fungu (jaza) kubwa, wanaswali kama sisi, wanafunga kama sisi, na wanatoa sadaka ya ziyada ya mali zao. Mtume ﷺ akasema: [Mwenyeezi Mungu hajakufanyieni vitu kwa ajili yenu kutoa sadaka?  Hakika kila Tasbihi (Subhana Allah) ni sadaka, kila Takbiri (Allahu Akbar) ni sadaka, kila Tahmidi (AlhamduliLlah) ni sadaka, na kila Tahlili (Laa ilaaha illa Allaah) ni sadaka, na kulingania jambo jema ni sadaka, na kukataza mabaya ni sadaka na katika kujamii (wake zenu) kila mmoja katika nyinyi ni sadaka.]  Wakasema (Maswahaba): Ewe Mtume mtu anapojitosheleza shahawa yake atapata malipo kwa ajili yake? Akasema ﷺ : [Mwaonaje ingekuwa anajitosheleza kwa njia ya haramu angelipata dhambi?  Basi na hivyo ikiwa kafanya kwa njia ya halali basi atapata thawabu.]

[Imepokelewa na Muslim]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6575152
TodayToday3219
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 8

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682935c1d7b7e18502888901747531201
title_682935c1d805119657883521747531201
title_682935c1ec2ee10721630791747531201

NISHATI ZA OFISI

title_682935c21138d11809053801747531202
title_682935c211eb011035754031747531202
title_682935c212004273017741747531202 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com