الحديث الحادي والعشرون


Annawawiy1


 “قل آمنت بالله ثم استقم”

عن أبي عَمْرو، وَقِيلَ: أبي عَمْرَةَ، سُفْيَانَ بْنِ عَبْدِ اللهِ رَضيَ اللهُ عَنه قَال: قُلْتُ: يا رَسُولَ الله، قُلْ لي في الإِسْلاَمِ قَوْلاً، لاَ أَسْأَلُ عَنْهُ أَحَداً غَيْرَكَ. [قَال: قُلْ: آمَنْتُ باللهِ ثُمَّ اسْتَقِمْ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 21


KUWA NA ISTIQAMA KATIKA DINI


Kutoka kwa Abu ‘Amr, vile vile (anajulikana kama) Abu ‘Amra Sufyaan Ibn Abdillah Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema:

Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu, niambie kitu kuhusu Uislamu ambacho siwezi kumuuliza mtu yeyote ila wewe. Akasema (Mtume ) : [Sema; Namuamini Allaah , kisha kuwa mwenye kunyooka.]  (kuwa na msimamo madhubuti katika dini)

[Imepokelewa na Muslim.]


comments