Menu

الحديث الخامس عشر


Annawawiy1


“من كان يؤمن بالله واليوم الآخر فليقل خيرا”

عن أبي هُرَيْرَةَ رضي الله عنهُ: أنَّ رسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم قال : [مَنْ كانَ يُؤمِنُ باللهِ والْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيَقُل خَيْراً أَوْ لِيَصْمُتْ، ومَنْ كانَ يُؤمِنُ باللهِ والْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيُكْرِمْ جارَهُ، ومَنْ كانَ يُؤمِنُ باللهِ والْيوْمِ الآخِرِ فَلْيُكْرِمْ ضَيْفَهُ 

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 15


KUWAKIRIMU WAGENI


Kutoka kwa Abu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema: Kasema Mtume ﷺ [Aliyekuwa amemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya ya Mwisho aseme (maneno ya) kheri, au anyamaze, na yule anaemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya ya Mwisho awe Mkarimu kwa jirani yake, na yule anaemuamini Mwenyezi Mungu na siku ya Mwisho amkirimu mgeni wake.]

[Imepokewa na Bukhaariy na Muslim]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA SHEIKH MUHAMMAD RAJAB



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6575074
TodayToday3141
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 6

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682927821776c562094561747527554
title_68292782178568607291911747527554
title_682927821794721454191621747527554

NISHATI ZA OFISI

title_6829278218f46561391971747527554
title_682927821903618003030801747527554
title_68292782191173186941631747527554 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com