Menu

الحديث الحادي عشر


 Annawawiy1


” دع ما يريبك إلى ما لا يريبك”


عَنْ أَبي مُحمَّدٍ الحسَنِ بْنِ عليّ بْنِ أبي طَالِب، سِبْطِ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم وَرَيْحَانَتِهِ رضيَ اللهُ عنهُما، قالَ: حَفِظْتُ مِنْ رَسُولِ الله صلى الله عليه وسلم:  [دَعْ ما يَرِيبُكَ إلى مَا لاَ يَرِيُبكَ


.رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَالنَّسَائِيُّ وَقَالَ التِّرْمِذِيُّ: حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله



  HADITHI YA 11


WACHA KILE KINACHOKUTIA SHAKA UFUATE KILE

KISICHOKUTIA SHAKA


Kutoka kwa Abu Muhammad Al-Hasan Ibn ‘Ali Ibn Abi Twaalib mjukuu wa Mtume Rehma na amani ziwe juu jake  na kipenzi chake Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao alisema :

Nilihifadhi kutoka kwa Mtume Rehma na amani ziwe juu yake maneno haya: [Wacha kile kinachokutia shaka ufuate kile kisichokutia shaka.]

[Imepokelewa na At-Tirmidhi na An-Nasai, At-Tirmidhi akisema kuwa ni hadithi Hasan na Sahihi.]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA USTADH MUHAMMAD RAJAB



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6575123
TodayToday3190
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 9

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68292eacd3e0f3800299341747529388
title_68292eacd3f6e7411854271747529388
title_68292eacd410116770196831747529388

NISHATI ZA OFISI

title_68292eacd62bc9194100731747529388
title_68292eacd641115363953591747529388
title_68292eacd65559595469331747529388 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com