Menu

الحديث السادس


 Annawawiy1


“إن الحلال بين وإن الحرام بين

عَنْ أبي عَبْدِ اللهِ النُّعْمَانِ بْنِ بَشِيرٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُما قَالَ : سمعتُ رَسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ

 إن الْحَلالَ بَيِّنٌ وَإنَّ الْحَرَامَ بَيِّنٌ وَبَيْنَهُما أمورٌ مُشْتَبِهَاتٌ لا يَعْلَمُهُنَّ كَثيِرٌ مِنَ الناسِ، فَمَنِ اتَّقَى الشُّبُهَاتِ فَقَد اسْتَبْرَأَ لِدِينِهِ وَعِرْضِهِ، وَمَنْ وَقَعَ في الشَّبُهاتِ وَقَعَ في الْحَرَامِ، كالرَّاعِي يَرْعَى حَوْلَ الْحِمَى يُوشِكُ أَنْ يَرْتَعَ فِيهِ، أَلا وَإنَّ لِكُلِّ مَلِكٍ حِمىً أَلا وَإنَّ حِمَى الله مَحَارِمُه، أَلا وَإنَّ في الجَسَدِ مُضْغَةً إذَا صَلَحَتْ صَلَحَ الْجَسَدُ كُلُّهُ وإذَا فَسَدَتْ فَسَدَ الْجَسَدُ كُلُّهُ، أَلا وَهِيَ الْقَلْبُ

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 6


HAKIKA HALALI IKO WAZI NA HARAMU IKO WAZI


Kutoka kwa Abu Abdullah An-Nu’uman Ibn Bashiyr Radhi za Mungu ziwe juu yake ambaye alisema: Nilimsikia Mtume Rehma na amani zimfikie yeye akisema:

[Halali iko wazi na haramu iko wazi, baina yao ni vitu vyenye shaka ambavyo watu wengi hawajui. Kwa hivyo, yule anayeepuka vyenye shaka anajisafisha nafsi yake kwenye dini yake na heshima yake, lakini yule anayetumbukia katika mambo yenye shaka, huanguka katika haramu, kama mchunga anayechunga pembezoni mwa mpaka, mara huingia ndani (ya shamba la mtu). Hakika kila mfalme ana mipaka yake, na mipaka ya Allaah alie tukuka ni makatazo Yake. Na hakika katika kiwiliwili kuna kipande cha nyama kikitangamaa, kiwiliwili chote kitakua kizima, kikharibika kiwiliwili chote huharibika. Basi jua (kipande hicho cha nyama) ni moyo.]

[Imepokewa na Al-Bukhari na Muslim]


Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya kwanza


Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya Pili



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6575193
TodayToday3260
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 5

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68293cce8f5ba6668875031747533006
title_68293cce8f67b11288179001747533006
title_68293cce8f75b20377165391747533006

NISHATI ZA OFISI

title_68293cce90d447505292931747533006
title_68293cce90e2c20874848111747533006
title_68293cce90f075659440761747533006 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com