Menu

 

ANACHOSEMA KWA AJILI YA KURUDISHA(KUZUWIA) VITIMBI VYA MASHETANI WABAYA

 

أعوذ بكلمات الله التامات التي لا يجاوزهن بر ولا فاجر من شر ما خلق ، وبرأ وذرأ ومن شر ما ينزل من السماء ، ومن شر ما يعرج فيها ، ومن شر ما ذرأ في الأرض ، ومن شر ما يخرج منها ، ومن شر فتن الليل والنهار ، ومن شر كل طارق إلا طارقاً يطرق بخير يا رحمن

أحمد 3/419 بإسناد صحيح وابن السني برقم 637

[Najilinda  kwa maneno ya Mwenyezi Mungu  yaliyokamilika ambayo hayapiti mwema wala muovu, na shari ya alicho kiumba, na akakitengeneza na kukianzisha.  Na shari ya kinachoteremka kutoka mbinguni na shari ya kinachopanda huko, na shari ya kinachosambaa ardhini na shari ya inayotoka ndani yake na shari ya fitna za usiku na za mchana na shari ya kila anayegonga  usiku ila anayegonga kwa kheri Ewe Mwingi wa Rehma.]        [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Sunniy]


ANACHOSEMA KWA AJILI YA KURUDISHA(KUZUWIA) VITIMBI VYA MASHETANI WABAYA


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575474
TodayToday181
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 9

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6829882f889389042147841747552303
title_6829882f88a4618989914791747552303
title_6829882f88b4c2959870761747552303

NISHATI ZA OFISI

title_6829882f8a47412538912271747552303
title_6829882f9c0a78771424171747552303
title_6829882f9c1bd13972653941747552303 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com