ANACHOSEMA WAKATI WA KUCHINJA


 DUA YA KUCHINJA


 

بسم الله والله أكبر [ اللهم منك ولك ] اللهم تقبل مني

مسلم 3/1557 والبيهقي 9/287 

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu huyu (mnyama) anatoka kwako na niwako, Ewe Mwenyezi Mungu nitakabalie (nikubalie).]    [Imepokewa na Muslim na Al-Bayhaqiy.]


ANACHOSEMA WAKATI WA KUCHINJA


 


comments