ANACHOSEMA ANAEOGOPEA KUPATWA NA KIJICHO

 

Akiona mmoja wenu kwa ndugu yake au kwake, au mali yake kinachomfurahisha akiombee baraka (kwani kijicho ni kweli) kwa kusema:

اللّهُـمَّ بارِك عَلَـيه

[Ewe Mwenyezi Mungu, mbariki kwa hicho]

… au aseme :

ما شاءَ الله، لا قُوَّةَ إلاّ بالله

[Haya ndio Mwenyezi Mungu aliyoyataka hakuna nguvu ila za Mwenyezi Mungu.]        [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Maajah na Maalik]


ANACHOSEMA ANAEOGOPEA KUPATWA NA KIJICHO


comments