ANACHOFANYA AKIPATA HABARI YA KUFURAHISHA

 

[ كان النبي صلى الله عليه وسلم إذا أتاه أمر يسرهُ أو يسرُّ به خر ساجداً شكراً لله تبارك وتعالى ]

رواه أهل السنن إلا النسائي

[Alikuwa Mtume ikimjia habari ya kufurahisha husujudu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetukuka.]    [Imepokewa na wapokezi wa hadithi ila Al-Nnasai]


comments