DUA YA SIKU YA ARAFAH

 

Bora ya dua ni dua ya siku ya Arafah,na bora ya niliyosema mimi na Mitume kabla yangu ni

 لا إله إلا الله وحدهُ لا شريك لهُ ، لهُ الملكُ ولهُ الحمدُ وهو على كل شيء قدير

الترمذي وحسنه الألباني في صحيح الترمذي

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu  hali ya kuwa peke yake, hana mshirika wake, ni wake Ufalme na ni zake sifa njema, naye juu ya kila kitu ni Muweza]     [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na kuhasinishwa na Al-Baaniy.]


DUA YA SIKU YA ARAFAH


 

 

 

comments