KINGA YA MUISLAMU


  ULIYEMTUKANA


Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayra amemiskia Mtume  akisema:

 

اللهُمَّ فأَيُّمَا مُؤْمِنٍ سَبَبْتُهُ فَاجْعَلْ ذَلِكَ لهُ قُرْبةً إليكَ يَوْمَ القِيَامةِ

 

[Ewe Mwenyezi Mungu kwa Muislamu yoyote yule niliyemtukana basi fanya kwa hilo litakaemkurubisha kwako (ni thawabu kwake) siku ya Kiyama.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


DUA UNAYOMUOMBEA ULIYEMTUKANA


 


comments