KINGA YA MUISLAMU
[ إذا سمعتم نُباح الكلاب ونهيق الحمير بالليل فتعوذوا بالله منهن فإنهن يرين ما لا ترون ]
أبو داود 4/ 327 وأحمد 3/ 306 وصححه الألباني
[Mkisikia mlio wa mbwa na wa punda usiku basi mtakeni hifadhi Mwenyezi Mungu kwani wao wanaona msiyoyaona.] [Imepokewa na Abuu Daud na Ahmad na kusahihishwa na Al-Baaniy.]
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.