KINGA YA MUISLAMU


 jogoo


 

[إذا سمعتم صياح الديكة ، فاسألوا الله من فضله فإنها رأت ملكاً وإذا سمعتم نهيق الحمار ، فتعوذوا بالله من الشيطان فإنه رأى شيطاناً]

البخاري مع الفتح6/350 ،ومسلم 4/2092

Amesema Mtume  [Mkisikia  mlio wa jogoo muombeni Mwenyezi Mungu  fadhila zake kwani huwa amemuona Malaika, na mkisikia mlio wa punda basi takeni hifadhi kwa Mwenyezi Mungu, kwani huwa amemuona shetani.]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


comments