KINGA YA MUISLAMU


  ALHAMDULILLAH


Alikuwa Mtume ﷺ ikimjia habari ya kufurahisha akisema:

 

[ الحمد لله الذي بنعمته تتم الصالحات ]

 

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye kwa neema yake yanatimia mambo mema]

Na ikimjia habari ya kusikitisha husema:

 

[ الحمد لله على كل حال ]

 

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu  kwa hali zote]     [Imepokewa na Ibnu Sunniy, na Al-Haakim na kuisahihisha]


SIKILIZA DUA HII


 


comments