KINGA YA MUISLAMU
[ أعوذ بكلمات الله التامات من شر ما خلق ]
رواه مسلم4/2080
[Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia na shari alichokiumba.] [Imepokewa na Muslim]
DUA YA MSAFIRI AKISHUKA SEHEMU WAKATI YUKO SAFARINI