DUA YA KUCHUKIA NDEGE MBAYA

 

[ اللهم لا طير إلا طيرك ، ولا خير إلا خيرك ،ولا إله غيرك ]

أحمد 2/220 وابن السني برقم 292 وصححه الألباني

[Ewe Mwenyezi Mungu hapana ndege mbaya ila ndege wako, na hapana kheri ila kheri yako, na hapana apasae kuabudiwa kwa haki asiekuwa Wewe]        [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Sunniy na kusahihishwa na Al-Baaniy.]


DUA YA KUCHUKIA NDEGE MBAYA


comments