DUA YA KUMUOMBEA ULIYE FUTURU KWAKE


 KUFUTURU


 

[ أَفطَر عِنْدَكُم الصائِمونَ ، وأكل طعامَكُمُ الأبْرارُ ، وصلت عليكُمُ الملائِكَةُ ]

سنن أبي داود 3/367، وابن ماجه 1/556 ،والنسائي

 

[Wafuturu kwenu waliofunga na wale chakula chenu watu wema, na wawaombee rehema malaika.]     [Imepokewa na Abuu Daud, na Ibnu Maajah,na Al-Nnasai.]


SIKILIZA DUA YA KUMUOMBEA ULIYE FUTURU KWAKE


 


comments