DUA YA MGENI KWA ALIYEMKARIBISHA CHAKULA


MGENI


 

[اللهُمَّ بَارِكْ لَهُم فيما رَزَقتهْمْ، واغْفِر لهم وارحَمْهُم]

مسلم3/ 1626

[Ewe Mwenyezi Mungu wabariki katika ulichowaruzuku na uwasemehe na uwarehemu.]      [Imepokewa na Muslim.]


DUA YA MGENI KWA ALIYEMKARIBISHA CHAKULA


 


comments