DUA YA BAADA YA KULA


DUA BAADA YA KULA


[الحمد لله الذي أطعمني هذا ، وزرقنيه ،من غير حول مني ولا قوة]

 أخرجه أصحاب السنن إلا النسائي

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu  ambae amenilisha mimi chakula hichi na akaniruzuku pasina uwezo wangu wala nguvu zangu.]      [Imepokewa na wapokezi wa hadithi ila Al-Nnasaai.]

[ الحمدُ لله حمداً كثيراً طيباً مباركاً فيهِ، غيْرَ [مَكْفيٍّ ولا] مُوَدَّع، ولا مُستَغنَى عَنْهُ ربّنا ]

البخاري 6/‌214 والترمذي

[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, sifa nyingi nzuri, zenye  baraka ndani yake, zisizo toshelezwa wala kuagwa, wala kutoshwa nazo mtu.  Ewe Mola wetu.]      [Imepokewa na Bukhari na Al-Ttirmidhiy.]


DUA YA BAADA YA KULA


 


 

comments