Menu

 

DUA KABLA YA KULA

 

:إذا أكل أحدكم الطعام فليقل

Atakapo kula mmoja wenu chakula basi aseme:

[ بِسْمِ الله  ]

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu]

Na akisahau mwanzo wake basi aseme:

[بِسمِ الله في أوله وآخره]

[Kwa jina la Mwenyezi Mungu  mwanzo wake na mwisho wake]       [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Ttirmidhiy]

Amesema Mtume ﷺ:

 من أطعمه الله الطعام فليقل

Yeyote ambae Mwenyezi Mungu amemruzuku chakula aseme:

[اللهم بارك لنا فيه وأطعمنا خيراً منه]

[Ewe Mwenyezi Mungu tubariki katika chakula hichi na tulishe bora kuliko hichi.]

ومن سقاه الله لبناً فليقل

Na yoyote ambae amemruzuku maziwa basi aseme:

[اللهم بارك لنا فيه وزدنا منه]

[Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie kinywaji hichi na utuzidishie]         [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]


DUA KABLA YA KULA 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575710
TodayToday417
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 4

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6829d893909c712091425431747572883
title_6829d89390ac45141313851747572883
title_6829d89390bb721283301951747572883

NISHATI ZA OFISI

title_6829d8939cbf917832658131747572883
title_6829d8939cceb7735020121747572883
title_6829d8939cdca10432469861747572883 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com