DUA YA WAKATI WA KUFUNGUA SAUMU


 dua yakungua 


 

[ ذَهبَ الظَّمأُ، وابتلَّت العروقُ وثَبَتَ الأجرُ إنْ شاء الله ]

 أخرجه أبي داود 2/306 وغيره

[Kiu kimeondoka na mishipa imelainika, na amethibiti malipa Allaah Akipenda.]      [Impokewa na Abuu Daud na wengineo]

Imepokelewa kutoka kwa 'Abdullaah bin 'Amr bin Al-'Aasw radhi za Allah ziwe juu yake  amesema: 

Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ: [Aliyefunga wakati wa kufuturu kwake ana du'aa isiyorudishwa.]

 

[ اللهم إني أسألك برحمتك التي وسعت كل شيءٍ أن تغفر لي ]

 

[Ewe Mwenyezi Mungu  hakika mimi nakuomba kwa rehema zako ambazo zimeenea kila kitu, unisamehe.]         [Imepokewa na Ibnu Maajah.]


DUA YA WAKATI WA KUFUNGUA SAUMU


  


comments