DUA YA KUTAKA MVUA IONDOKE (WAKATI ITAKAPOLETA MADHARA)


 suyul


 

[اللهم حوالينا ولا علينا ، اللهم على الآكامِ والظرابِ وبُطون الأودية ، ومنابت الشجر]

البخاري 1/224 ،مسلم 2/614

[Ewe Mwenyezi Mungu, inyesheleze kwetu wala isiwe yenye kutuangamiza.  Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwenye vichaka na milima na mabonde na kwenye mizizi ya miti.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


DUA YA KUTAKA MVUA IONDOKE (WAKATI ITAKAPOLETA MADHARA)


 


comments