KINGA YA MUISLAMU


 RADI


Alikuwa  Abdallaah Bin Zubair radhi za Allah ziwe juu yake akisikia radi basi huacha mazungumzo badala yake husema:

 

[ سبحان الذي يُسبح الرعد بحمده والملائكة من خيفته ]

 

[Ametakasika yule ambae radi zinamtakasa kwa sifa zake na malaika pia kwa kumuogopa]    [Imepokewa na Imam Malik katika Al-Muwatwa'a]


SIKILIZA DUA YA RADI


    


comments