KINGA YA MUISLAMU


 dua ya maiti


 

[اللهم اغفر له اللهم ثبته]

 

[Ewe Mwenyezi Mungu  msamehe, Ewe Mwenyezi Mungu  mfanye awe thabiti]

Mtume alikuwa akimaliza kuzika anasimama mbele ya kaburi na kisha anasema “Muombeeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu  ndugu yenu na muombeeni kuthibitishwa kwani hivi sasa anaulizwa.      [Imepokewa na Abuu Daud na Al-Haakim]


DUA BAADA YA KUMZIKA MAITI


 


comments