KINGA YA MUISLAMU


 taazia


 

إن لله ما أخذ وله ما أعطى . وكل شيء عنده بأجل مُسمى ...فلتصبر ولتحتسب

 البخاري 2/80 ومسلم 2/636

[Kwa hakika ni Chake Mwenyezi Mungu Alichokichukua, na ni chake Alichokitoa, na kila kitu Kwake kina muda maalum]

(.......kisha Mtume ﷺ akimwambia:)  "basi vumilia na taka malipo kwa Allaah" ]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

na akisema:

 

[ أعظم الله أجرك ، وأحسن عزاءك وغفر لميتك ]

 

[Ayafanye mengi Allaah malipo yako, na Akufanye kuzuri kutaaziwa (kuhaniwa) kwako na Amsamehe maiti wako.]

...basi ni bora         [Tazama Al-Adhkaar ya Imam Al-Nnawawiy]


DUA YA KUMTAAZI ALIYEFILIWA


  


comments