KINGA YA MUISLAMU
Amesema Mtume ﷺ Mwenye kuwa neno lake la mwisho
[لا إلهَ إلاّ اللّه]
[Hapana mola apasae kuabudiwa kwahaki ila ni Mwenyezi Mungu]
………. Ataingia peponi [Imepokewa na Abuu Daud.]