Menu

KINGA YA MUISLAMU


 maridh


 

[ اللهم اغفر لي وارحمني والحقني بالرفيق الأعلى ]

البخاري 7/10 ومسلم 4/1893

[Ewe Mwenyezi Mungu, nisamehe mimi na unirehemu na unikutanishe na waja walio katika daraja za juu.]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

Imepokelewa kutoka kwa Bibi Aisha Radhi za Allah zawe juu yake  amesema: [Mtume wakati anakufa alikuwa akiingiza mikono yake ndani ya maji kisha akipangusa kwayo uso wake na akisema:

 

[ لا إله إلا الله إن للموت لسكرات ]

 

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, hakika kifo kina uchungu]    [Imepokewa na Bukhari.]

 

لا إله إلا الله والله أكبر ، لا إله إلا الله وحده ، لا إله إلا الله وحده لا شريك لهُ ، لا إله إلا الله لهُ الملك ولهُ الحمد ، لا إله إلا الله ولا حول ولا قوة إلا بالله

أخرجه الترمذي وابن ماجه وصححه الألباني

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu  ni Mkubwa, Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu  peke yake, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu mpweke hana mshirika wake, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki  ila ni Mwenyezi Mungu, ni wake Ufalme na sifa njema zote ni zake, hapana mola apasae kuabudiwa  kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu  na hapana uwezo wala nguvu isipokuwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.]      [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Ibnu Maajah na kusahihishwa na Al-Baaniy]    


DUA ANAYOOMBA MGONJWA ALIYEKATA TAMAA YA KUPONA


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6575632
TodayToday339
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 7

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6829bd8283b4e9970565481747565954
title_6829bd8283cab9570479971747565954
title_6829bd8283e135173316841747565954

NISHATI ZA OFISI

title_6829bd82863585797706311747565954
title_6829bd8286492833086581747565954
title_6829bd82865d917796011871747565954 Add content here

HUDUMA MPYA

: 9 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com