KINGA YA MUISLAMU


 mgonjwa


Imepokelewa na Ali Bin Abi Twalib amesema: nimemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu   akisema : [Mtu anapomtembelea ndugu yake Muislamu mgonjwa basi hutembelea katika bustani ya peponi mpaka atakapoketi, naanapoketi hufunikwa na rehma ikiwa ni asubuhi wanamtakia rehma malaika sabini elfu mpaka jioni na ikiwa ni jioni wanamtakia rehma malaika sabini elfu mpaka asubuhi.]   [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Ibnu Maajah na Ahmad.]


comments