KINGA YA MUISLAMU


 Mgonjwa1


Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu anapoingia kumzuru mgonjwa  akimwambia

 

[ لا بأس طهور إن شاء الله ]

 

[Hakuna neno, (ugonjwa) ni kusafishwa (na madhambi) anapopenda Mwenyezi Mungu. ]    [Imepokewa na Bukhari.]  

Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu : Hapana mja yeyote muislamu anaemtembelea mjongwa ambae wakati wake wa kufa bado haujafika na akamuombea mara saba

 

[ أسأل الله العظيم رب العرش العظيم أن يشفيك ]

 

[Namuomba Mwenyezi Mungu  Mtukufu Mola wa Arshi tukufu (akuponyeshe)]

Isipokuwa Mwenyezi Mungu  humponyesha mgonjwa huyo.   [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Abuu Daud.]


DUA YA KUMTEMBELEA MGONJWA


 


comments