KINGA YA MUISLAMU


 kinga ya watoto


Imepokelewa  na Ibn Abbas amesema  alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  akiwakinga wajukuu wake (Hassan na Hussein) akisema :

 

[ أعيذكما بكلمات الله التامة ، من كل شيطان وهامة ، ومن كل عينِ لامة ]

 

[Nawakinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu  yaliyotimia awakinge kutokana na kila shetani na uvamizi na kila jicho lenye kudhuru.]      [Imepokewa na Bukhari.]


DUA INAYO KINGWA NAYO WATOTO


 


comments