KINGA YA MUISLAMU


 Dua ya mtoto


 

[ بارك الله لك في الموهوب لك ،وشكرت الواهب، وبلغ أشدهُ، ورزقت برهُ ]

 

[Mwenyezi Mungu  akubariki katika ulichopewa na umshukuru  aliyekupa, na afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake]

Na aliyepongzwa  atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

 

 [ بارك الله لك وبارك عليك ، وجزاك الله خيراً ، ورزقك الله مثله، وأجزل ثوابك]

 

[Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu  akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu  akuruzuku mfano wake na afanye nyingi thawabu zako]

[Tazama Al-Adhkaar ya Imamu Al-Nnawawiy uk 349]


PONGEZI YA KUPATA MTOTO NA JAWABU YAKE


 


comments