Menu

KINGA YA MUISLAMU


 DUA YA UZITO1


Amesema Mtume [muumini mwenye nguvu ni bora na anapendeza zaidi kwa Mwenyezi Mungu  kuliko mumini dhaifu, na wote wana kheri.  Fanya pupa kwa kile kitakacho kunufaisha na taka msaada kwa Mwenyezi Mungu   wala usichoke na kikikupata kitu chochote kibaya basi usiseme “lau”  kama ningefanya kadha na kadha  yasingenitokea haya, lakini sema:

[ قدر الله وما شاء فعل ]

 

[Amepanga Mwenyezi Mungu  na analolitaka anafanya]

…… hakika neno la “lau”  linafungua matendo ya shetani’         [Imepokewa na Muslim.]

 

Hakika Mwenyezi Mungu  analaumu mwenye kukata tamaa, lakini usivunjike moyo na ukishindwa na jambo kabisa sema:

 

[ حسبي الله ونعم الوكيل ]

 

[Mwenyezi Mungu  ananitosheleza, naye ni Mbora wa kutegemewa.]


SIKILIZA DUA HII 


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6576162
TodayToday2
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 2

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682aae716baed6193774121747627633
title_682aae716bbde19793588071747627633
title_682aae716bcc2661365961747627633

NISHATI ZA OFISI

title_682aae716d6f3867428461747627633
title_682aae716d7df12068050181747627633
title_682aae716d8c82600662541747627633 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com