KINGA YA MUISLAMU


 witri


 

سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوس]   ثلاث مرات]

 

[Ametakasika Mwenyezi Mungu  Mfalme, Mtakatifu.]   mara tatu

Na mara ya tatu anaisoma kwa sauti kubwa na kwa kuivuta.

 

[ ربِّ الملائكةِ والرّوح ]

رواه النسائي 3/244 والدار قطني وغيرهما

 

[Ewe Mola wa malaika na wa Jibriil.]       [Imepokewa na Al-Nnasaai na Al-Ddarqutnyi]


DUA BAADA YA SALAMU KATIKA SWALA YA WITRI


 


comments